asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Saturday, December 10, 2016

TRUMP AMESHINDWA KUACHA HILI



Inaonekana Donald Trump, hawezi kuyaacha maisha ya TV. Imeripotiwa kuwa Rais huyo mteule wa Marekani, ataendelea kuwa mtayarishaji mkuu wa reality series ya NBC, Celebrity Apprentice.
celebrity-apprentice
Kwa mujibu wa tovuti ya Variety, Trump ataendelea kutambulika kama executive producer wa show hiyo ambayo sasa itakuwa ikiongozwa na Arnold Schwarzenegger — itakaporejea tena, January 2 baada ya kutofanyika kwa miaka miwili.
Tovuti hiyo imedai kuwa, jina la tajiri huyo mwenye miaka 70, litatokea baada ya mwanzilishi wa show hiyo, Mark Burnett na kabla ya Schwarzenegger ambaye pia ni mtayarishaji mkuu.
Kutokana na kuendelea kuwepo kwenye credits licha ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani, Trump ataendelea kuingiza fedha kutokana na series hiyo


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt