asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, February 26, 2017

Waliotaka kumwabudu Kanye West wapewa Sanamu yake…

Mtengeneza sanamu maarufu mjini Las Angels ‘Ginger’ ametengeneza sanamu ya Kanye West iliyofananisha na picha ya Yesu Kristo.

Msanii huyu aliyetengeneza sanamu hi anasema sababu za kutengeneza na kuiweka wazi kwa watu ni kama njia ya kuonyesha matatizo aliyopitia Kanye West mwaka 2016 kuelekea mwaka 2017 kama Kulazwa hospitalini kwa matatizo ya akili, kumpa ushirikiano rais Donald Trump na kupondwa vikali na watu weusi kwa kukutana na Donald Trump.
Sanamu hii ni ya Plastic na mtengenezaji huyu anasema sababu zingine ni Kutoa sifa kwa Kanye West kana Producer na mwandishi bora wa muziki ila watu wajue yeye sio Mungu na mpaka alipopata matatizo ndipo kila mtu akaanza kumtukana na kumkejeli, ni sawa na kama walimuweka kwenye msalaba, mambo kama haya tumeyaona yakifanyika kwa wasanii kama Britney Spears na Lindsay Lohan, watu hao hao wanaomuona yeyeni kama Mungu wao ndio baadae wanamtesa“.
 


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt