asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Monday, March 20, 2017

Rais Magufuli kutengua uteuzi wa RC Makonda kwa simu Clouds

Image result for magufuli apiga simu
watanzania wengi wanatizamia hili na wamesubiri kwa muda nini atakifanya rais magufuli juu ya sakata la Makonda

Ni muda muafaka sasa kuikaribia TV yako au redio yako tumsikilize bosi wa Clouds Media akielezea yaliyojiri siku ya Ijumaa ambapo inadaiwa kituo chao kilivamiwa.

Ataanza kuzungumza saa mbili asubuhi hii.

Habari za uhakika  leo hii ni kuwa endapo Ruge atamkaanga RC Makonda kwa kitendo alichofanya cha kuivamia Clouds basi uteuzi wa RC huyo utaishia hapohapo clouds ambapo utenguzi huo utafanywa na rais kwa njia ya simu. 

Kwa sasa Ruge yupo live Clouds tv akitoa ufafanuzi wa yaliyotokea juzi ijumaa.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt