asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Monday, April 3, 2017

Mzimu wa Bashite wazidi kumtafuna Gwajima.........Adai Ametishiwa Kifo na Hata Maliza Wiki Hii Akiwa Salama..!!!


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema kuwa ametishiwa kifo na kundi la watu asiowafahamu.

Gwajima amesema hayo alipokuwa akihubiri katika kanisa lake Ubungo, Jijini Dar es Salaam na kudaiwa kuwa vitisho hivyo vilikuja kwa njia ya ujumbe ukimtahadharisha kuwa hatamaliza wiki inayoanza.

Gwajima ni miongoni mwa washukiwa waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt