asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Friday, April 7, 2017

VIDEO: HARMORAPA KIKI INAZIDI KUTIKI....AWAMU HII AJA NA KOLABO NA MSANII KUTOKA UBELGIJI

Image result for harmorapa

Staa kutoka Bongoflevani Harmorapa ameendelea kutrend kwenye headlines awamu hii akiingia studio kwa ajili ya kufanya collabo ya kimataifa baada ya kumleta nchini staa wa muziki kutoka Ubelgiji Kriticos.
Kriticos ni msanii kutoka Ubelgiji mwenye asili ya Tanzania na Zambia amefika nchini kufanya kazi na Harmorapa ambapo leo April 7, 2017 alipata nafasi ya kufunguka 
Hapa anaeleza mpango mzima…




No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt