asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Saturday, May 13, 2017

Bila huruma.!!! Rambirambi za wanafunzi wa shule ya Lucky vicent waliofariki kwa ajali zadaiwa kutafunwa..!!..Mchezo huo mchafu ulifanywa hivi


Familia za Wanafunzi, Waalimu/Dereva zilizopoteza wapendwa wao kwenye ajali ya gari la shule ya Lucky Vincent huko Arusha zimepatiwa kila moja kiasi cha shilingi Milioni 3.6, (Pesa Zingine zilizotolewa zimetumika kugharamia gharama Zingine. Millions 60, 400,000) zipi?

Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Arusha,jumla ya shilingi milioni 190 zimetumika kwenye gharama zote.

Kimahesabu jumla ya shilingi Milioni 129,600,000 ndizo walizopewa wafiwa kama Rambirambi baada ya matumizi mengine.Kiasi cha shilingi milioni 60,400,000 ndizo zilizotumika kwa matumizi mengineyo.

Swali ni moja tuu,
"Serikali ilitangaza itagharamia Mambo yoote ya Msiba mpaka kuzika, sasa hii ya kusema tena kiasi flani cha fedha ya Rambi rambi kilichotolewa kimetumika kwa mambo mengine ni yapi hayo? Ili kuondoa utata vichwani mwa wengi, ingependeza endapo yangetajwa.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt