asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, May 4, 2017

KUMEKUCHAA..!!! MAGUFULI AMCHINJIA MBALI SHEMEJI YAKE MWENYEWE....

Image result for magufuli
Ukitaka kujua hakuna mzaha ktk serikali hii ni kuwa katika zoezi la vyeti feki  magufuli amemchinjia mbali shemeji yake kabisa aitwaye  Dorice M Mbizo kwa kumtumbua bila kujali undugu, ambaye yupo kwenye mashirika ya Umma/Taasisi namba 1158.

Huyu shemeji yake muda mrefu amekaa kwa Magufuli pale Kinondoni tangu Magufuli akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi mpaka alipoolewa, kwa kifupi maisha yake kwa kipindi kirefu yalikuwa kwa Magufuli ambaye ni shemeji yake, sasa alipopata kazi kumbe alitumia vyeti feki bila kujua kwa kuwa ni aibu kwake. KAGUZI HIZI ZIMEMUIBUA NA KUMUWEKA HADHARANI.

Hapa kumekucha, fagio halina cha ushemeji wala undugu ni kula kichwa tu!


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt