asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, June 4, 2017

RASMI..!! NGASA KIROHO SAFI ATUA TENA KATIKA TIMU KONGWE NA KESHO ANAANZA KUICHEZEA,,,IJUE NA TAZAMA HAPA MCHEZO MZIMA ULIVYOKUWA


Mshambuliaji Mrisho Ngassa ataanza kuichezea Yanga katika michuano ya SportsPesa Super Cup kesho.

Yanga itaivaa Tusker FC ya Kenya katika mechi ya pili baada ya Singida United kuwa imeanza mechi ya kwanza dhidi ya AFC Leopards.

Ngassa amefanya mazoezi na Yanga jana na leo asubuhi tayari kwa mechi hiyo ya SportsPesa Super Cup.

Taarifa zimeeleza kwa kuwa michuano hiyo wachezaji huru wanaweza kushiriki, Yanga imeamua kumtumia Ngassa baada ya yeye kuomba kwa kuwa ni mchezaji huru.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt