asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, July 13, 2017

HII NDIO YANGA...!!! TAZAMA HAPA WANACHOKIFANYA LICHA YA MBWEMBWE ZA USAJILI ZA SIMBA


Yanga ilianza mazoezi jana kwenye gym ili kuongeza uimara wa wachezaji.

Kikosi hicho asubuhi ya leo kimeendelea na mazoezi tena gym.



Baada ya hapo, Yanga itaanza mazoezi ya uwanjani kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2017-18.


Kocha George Lwandamina amekuwa akisimamia mazoezi hayo ambayo hata hivyo yanafanywa zaidi na wasaidizi wake.

USIKOSE KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt