asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Tuesday, December 20, 2016

Shilole asema Baba Levo ni kama mwanamke mwenzake

Msanii Shilole Kiuno ambaye leo ametimiza miaka 28 amefunguka na kusema kuwa msanii Baba Levo ni kama mwanamke mwenzake kwani hata akilala naye mpaka asubuhi kitanda kimoja Baba Levo hawezi kumfanya lolote kutokana na jinsi wanavyoheshimiana.
Shilole alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio,


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt