asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, February 9, 2017

GARI ALIYOITUMIA GWAJIMA KWENDA MAHAKAMANI YAZUA GUMZO........itazame hapa

Chevrolet G20 Van ni gari ambayo ilitengenezwa kwa mara ya kwanza nchini Marekani mwaka 1961 chini ya kampuni ya General Motors. Kwa sasa gari hii kwenye mtandao wa ebay, used inauzwa dola 23,500 ambayo ni sawa na zaidi ya milioni 45 za Tanzania. Angalia video ya gari hiyo.
 


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt