asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, March 5, 2017

GWAJIMA: "nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote.".....aja kivingine sakata la unga


Image result for gwajima
Dar es Salaam.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.                      

Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake,                    

"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt