asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Wednesday, May 10, 2017

usalama wa wagonjwa Muhimbili ni '0'(sifuri).....Tazama hapa jinsi vyeti feki vilivyotafuna mamia ya wahudumu wa hospitali hiyo ya taifa


Wafanyakazi 114 wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wabainika kuwa na vyeti feki na kutakiwa kufuata agizo la Rais Magufuli kuachia nafasi hizo kwani hawana sifa tena za kuendelea kuwa watumishi wa Umma

Katika taarifa aliyotolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji Prof. Lawrence Museru imesema kuwa kwa mfanyakazi yoyote ambaye hajaridhika na uamuzi huo kuhusiana uhalali wa vyeti vyao wakate rufaa kwa Katibu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi ya Umma na Utawala bora kabla au ifikapo tarehe 15 Mei, 2017.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt