asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Wednesday, May 10, 2017

MSEMO WA ATAKAYEIUA CCM ANATOKA NDANI YA CCM UNAELEKEA KUTIMIA.....TAZAMA HAPA MAMBO ANAYOFANYA NAPE...

March 23 mwaka huu, Rais Dkt. John Pombe Magufuli alifanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri ambapo alimteua Dk. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye alichukua nafasi ya Nape Nnauye.
Sasa basi, tangu kufanyika kwa mabadiliko hayo, Nape amekuwa akichukua headlines kwenye mitandao kutokana tweet/post zake pamoja na picha.
Hapa chini tumekuwekea picha 10 alizoweka kwenye mitandao toka alipoondolewa kwenye uwaziri, je zinakupa tafsiri gani?.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt