asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, June 11, 2017

SIMBA WAZIDI KUIMALIZA AZAM KIMYA KIMYA BAADA YA JOHN BOCCO, AISHI MANULA NAYE KWENYE KIOTA, TAZAMA HAPA ALICHOFUNGUKA

Kipa Aishi Manula, amemalizana na Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili.

Taarifa zinaeleza, Simba wamemalizana na Manula mara tu baada ya kambi ya timu ya taifa iliyocheza jana dhidi ya Lesotho.

“Kweli amesaini miaka miwili, Simba inaendelea na kazi yake. Tafadhari waambieni wanachama na mashabiki watuamini, tunajitahidi kufanya kazi yetu,” kilieleza chanzo.

Tayari Simba ilikuwa imezungumza na Manula, lakini akaondoka kusafiri na timu ya taifa iliyoweka kambi nchini Misri.


Manula anakuwa mchezaji wa pili baada ya John Bocco kumalizana mapemaa na Simba.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt