Gari namba T503 DGQ mali ya Hanscana ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali
“Kwenye speed 60 free road lakini icho kilicho tokea miujiza lakini MUNGU ana miujiza yake pia Mimi na director wangu @hanscana_ producer @mrvs2016 @abbah_process Wote tuko Poa CAN I GET AMAN FOR THAT #muziki,” ameandika Darassa kwenye Instagram.
Wengine waliokuwemo kwenye gari hilo ni rapper Mr VS na producer Abbah.
Rod accident BUT WE GOOOOOOOD “My self @darassacmg @abbah_process @mrvs2016 #MUZIKI God Made thank you,” ameandika Hanscana.
No comments:
Post a Comment