Marekani imetoa ombi kwa China ikiitaka iwachilie chombo cha baharini ilichokamata katika maeneo ya bahari ya kimataifa.
Chombo cha USNS Bowditch kilikuwa kikifanya utafiti |
Jeshi la wanamaji wa China lilikamata chombo hicho cha utafiti wa chini ya bahari, kusini mwa bahari ya China siku ya Alhamis.
Kisa hicho kilitokea wakati meli moja ya Marekani ilikaribia kukiondoa chombo hicho baharini
Trump akosoa China kwenye Twitter.
Trump asema sera ya 'China Moja' itabadilika
Chombo hicho kwa jina "naval glider" kinatumiwa kufanyia utafiti viwango vya chumvi baharini na pia vya joto.
"Chombo hicho kilikuwa kikiendesha utafiti kulinga na sheria za
kimataifa kusini mwa bahari ya China,"maafisa wa Marekani walisema.
No comments:
Post a Comment