
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Humphrey PolePole ameteuliwa na Halmashauri
Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu
Itikadi na Uenezi kuchukua nafasi ya Nape Nnauye
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chama hicho kupitia ukurasa wake wa
Twitter zinaeleza kuwa kikao chaHalmashauri Kuu ya Taifa kimemteua
Polepole kushika wadhifa huo.
Kikao cha Halmashauri...
No comments:
Post a Comment