SLIDE MANENO
Monday, March 20, 2017
Breaking news: Mkuu wa mkoa anusurika kifo!!!
Watu wawili wamenusurika kifo baada ya dereva wa taxi kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18, 2017 mjini Iringa huku mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na katibu tawala Wamoja Ayubu wakinusurika katika ajali hiyo.
Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa wa Iringa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.
Ajali hiyo imesababishwa na dereva taxi kuwaparamia wafanya mazoezi hao.
Labels:
HABARI KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment