asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Saturday, December 10, 2016

SOKWE ANAYEVUTA SIGARA SASA ATUA KENYA

 Manno amekuwa akiishi nchini Iraq ambapo amekuwa akivuta sigara alizokuwa akipewa na wageni
Baada ya kutengenishwa na mamake muda mfupi baada ya kuzaliwa, sokwe Manno alisafirishwa hadi nchini Iraq ambapo aliishi akivuta sigara alizokuwa akipewa na wageni huku akipigwa picha na wageni waliokuwa wakimtembelea.

Sokwe huyo mwenye umri wa miak minne pia angevalishwa nguo kama mtoto na kupewa vinjwaji na peremende

Kisha ukakuja msaada kutoka kwa makundi kadha ya kutunza wanyama, na sasa siku za Manno kama mvutaji sigara zimwekwisha baada ya kuwasili katika kituo cha kuwatunza sokwe kilicho nchini Kenya wiki moja iliyopita.
Manno aliwasili katima kituo cha Ol Pejeta nchini Kenya mnamo Novemba 30

Wakati wa safari kati ya Dohuk na Erbil nchini Iraq watu waliokuwa wakimsafirisha walikuwa umbalia wa kilomita 20 kutoka mji wa Mosul ambapo kuna mapigano makali kati ya jeshi la Iraq na kundi la Islamic State.

Baada ya siku kadha za safari akiwa amefungiwa kwenye kisanduku kidogo, Manno aliwasili katima kituo cha Ol Pejeta mnamo Novemba 30 ambacho kimekuwa kikiwatuza sokwe walio kwemye hatari wa kuangamia tangu mwaka 1993.

Manno ambaye anaaminiwa kuzaliwa mjini Damascus nchini Syria hajaishi maisha yeke ya kawaida tangu auzwe kinyume cha sheria mwaka 2030 kwa dola 15,000


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt