asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Friday, February 24, 2017

Diamond Platnumz Aingia Top 20 ya New Artists Marekani Kupitia Wimbo wa Marry you


Nyota wa Africa diamond platnumz ameweka record mpya kwenye mziki wake baada ya kuingia 20 ya wasanii wapya nchini marekani kwa video take ya marry you kupitia mtandao wa Vevo
Video ya marry you imeendelea kufanya vizuri kupitia a/c hiyo mpya ya Diamond ikiwa na views milioni 3.7 ndani ya wiki 3


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt