asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Tuesday, February 28, 2017

HARMORAPA AMPOKEA ALI KIBA JK NYERERE AIRPORT NA KUMKABIDHI T-SHIRT YENYE UJUMBE WA KIPEKEE

Image result for HARMORAPA
Msanii wa hip hop anayefanya vizuri kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Bongo Athuman Omary ‘Harmorapa’ ameibuka na mapya leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kutinga uwanjani hapo kumpokea Ali Kiba sambamba na kumzawadia tisheti iliyoandikwa ‘Kiba Addict’.
Hamo ameushangaza umma kwa mapenzi yake kwa Ali Kiba kwani inadaiwa alikuwa lokesheni akishuti wimbo wake mpya anaotarajia kuutoa mwezi ujao. Hamorapa aliiacha kazi yake ya kuandaa kichupa chake kipya kutinga fasta uwanjani hapo kumpokea Ali Kiba.
‘Ali kiba ndiye msanii mkubwa kwa sasa Tanzania, namkubali kupita maelezo yaani namkubali kutoka ndani ya damu,’ alisema Hamorapa


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt