asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Wednesday, March 1, 2017

BAADA YA WATANZANIA KUTIMULIWA MSUMBIJI,...AFRIKA KUSINI NAO WAANZA ZOEZI KAMA HILO

Wahamiaji wamekuwa wakishambuliwa Afrika KusiniHaki miliki ya pichaAFP
Image captionWahamiaji wamekuwa wakishambuliwa Afrika Kusini
Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni nchini Afrika Kusini imethibitisha ripoti kuwa raia kadha wa Nigeria wamefukuzwa kutoka nchini humo.
Vyombo vya habari nchini Nigeria vimekuwa vikiripoti kuwa raia 97 wa Nigeria wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu tofauti walifukuzwa kutoka Afrika Kusini siku ya Jumatatu.
asema kuwa mamia ya watu wasio na vibali walisafirishwa kutoka nchini humo, wengi wao kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC.
Wahamiaji walijihami kujilinda Afrika KusiniHaki miliki ya pichaEPA
Image captionWahamiaji walijihami kujilinda Afrika Kusini
Wengine ni raia wa Pakistan, China, Bangladesh na Somalia.
Afrika Kusini imekumbwa na ghasia dhidi ya raia wa kigeni na visa vya kuporwa kwa maduka yanayomilikiwa na wahamiaji.
Afrika Kusini huwafukuza karibu watu 30,000 kila mwaka.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt