asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, March 19, 2017

CCM kuirubuni CHADEMA kwa kutumia mtandao wa whatsapp.....taadhari hii yatolewa..

TAHADHARI KWA WANA CHADEMA WOTE WANAOTUMIA MTANDAO WA WHATSAP.
TAFADHALI SAMBAZA TAARIFA HII.

Tumepokea taarifa ya vijana wa CCM (Lumumba) kuunda njama za kuanzisha magroup mawili ya Whatsap waliyopanga wayaite kwa majina ya "FRIENDS OF LISSU", na "FRIENDA OF MBOWE" ambapo mpango wao mkubwa ni kueneza link ya group husika ili wana CHADEMA wajiunge,kisha waanzishe hoja ya uchonganishi wa viongozi wawili wa CHADEMA yaani;

1. Mh.FREEMAN MBOWE (M/kiti wa chama)

2. Mh. TUNDU LISSU (Mwanasheria mkuu wa chama) kama mipango yao inavyoonekana hapo chini.


FB_IMG_1489902241202.jpg 
FB_IMG_1489902227050.jpg 
FB_IMG_1489902206794.jpg 

WITO; EPUKENI KUJIUNGA KWENYE MAKUNDI YA WHATSAP KWA KUTUMIA LINK.

MWISHO; WAPUUZENI KABISA HAWA WAPIGA DEKI WA LUMUMBA


source:JF


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt