asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Friday, March 3, 2017

Pluijm amefungashiwa virago Yanga


Leo Ijumaa February 3, 2017 uongozi wa Yanga umesitisha mkataba na mkurugenzi wao wa ufundi Hans van Pluijm.
Van Pluijm alikuwa kocha wa timu hiyo kabla ya kubadilishiwa majukumu kuwa mkurugenzi wa ufundi baada ya ujio wa George Lwandamina ambaye ndio kocha mkuu wa sasa.
Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zinataja kuwa chanzo cha kuondoshwa kwa kocha huyo ni uhaba wa pesa unaoikabili klabu hiyo kwa sasa.
Shaffihdauda.co.tz inaendelea kupambana kutafuta sababu zilizopelekea Pluijm kupigwa chini na Yanga na habari kamili utaipata hapahapa


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt