asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Monday, March 13, 2017

Simba na Azam zaongoza kwa kuwa na wachezaji wengi katika kikosi kipya cha taifa stars huku Yanga ikiangukia pua kati ya club hzo kubwa


Timu ya simba na azam fc zatunisha vifua baada ya kutoa wachezaji wengi zaidi katika kikosi kipya cha timu ya "Taifa stars" katika list hiyo simba imetoa wachezaji saba(7) ambao ni..

  1. Mohamed Hussein "Tshabalala"
  2. Abdi  Banda
  3. Jonas  Mkude
  4. Said Ndemla
  5. Muzamiru Yassin
  6. Shiza  Kichuya
  7. Ibrahim Hajib
Azam Fc pia imetoa wachezaji saba(7) ambao ni.....
  1. Aishi Manula
  2. Shomary Kapombe
  3. Gadiel Michael
  4. Erasto nyoni
  5. Hamidi Mao
  6. Salum Abubakar  "sure boy"
  7. Frank Dumayo
Yanga imetoa wachezaji wanne(4) ambao ni
  1. Deogratius Munishi "Dida"
  2. Hassan kessy
  3. Andrew vicent
  4. Simon msuva
Mtibwa sugar imetoa wachezaji wawili(2)
  1. Said Mohamed
  2. Salim Mbonde
Wachezaji wanaokichapa nje ya nchi ni watatu(3) ambao ni
  1. Mbwana samatta (KRC GENK)
  2. Thomas Ulimwengu (AFC ESKILSTUNA)
  3. Farid Mussa (DC TENNERIFE )
Mwadui Fc mmoja(1)
  1. Hassan kabunda
Kagera sugar mmoja(1)
  1. Mbarak Yussuf
Ruvu shooting mmoja(1)
  1. Abdulrahman mussa
Habari na 
                Nickson Sawe



No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt