asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Wednesday, March 1, 2017

UUZAJI WA COCA-COLA NA PEPSI MWISHO.......



Vinywaji vya Coca-Cola na Pepsi
Image caption

Maelfu ya maduka yatasitisha uuzaji wa vinywaji vya Coca-Cola na Pepsi kuanzia Jumatano hii ni katika jimbo la Tamid Nadu nchini India 
Mashirika mawili ya biashara yametoa wito kwa washirika wake kususia kuuza vinywaji vya kigeni na badala yake kukuza bidhaa zinazotengezwa nchini humo.
Wameshutumu kampuni za vinywaji hivyo kwa kutumia vibaya maji nchini humo wakati ambapo wakulima wanakabiliwa na hali ngumu ya ukame.
Hatua hiyo pia inaangazia ushawishi wowote wa kigeni nchini humo.
Shirika moja linaloshirikisha kampuni za Coke na Pepsi, na shirika la vinywaji nchini humo zimedai kusikitishwa sana na hatua hiyo


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt