asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, March 23, 2017

Ya nyuma ya pazia, Ishu ya Makonda kuvamia Clouds ni mtego....

Image result for makonda na clouds
Kuna ishu ya chini chini ambayo imezagaa kuwa kulikua na mtego uliotegwa kwenye ishu ya RC kuingia Clous Media akiwa na maaskari waliokua na bunduki za moto.

Taarifa hizo zinasema ishu hiyo ilichezwa na mmoja wa wakubwa (mwenye cheo kikubwa clous) akishirikiana na mtandao wa vigogo unaotaka makonda aondoshwe madarakani.

Picha ipo hivi nje ya yanayosemwa kuhusiana video ya mchungaji na yule mama, Ni kwamba kuna mtu alimtonya mheshimiwa kuwa kuna ishu ya madawa itafanyika hapo yaani clous media.

Baada ya hapo mheshimwa ilimbidi achukue kikosi kazi kilichokamilika ili kwenda kuattack tukio ndio maana alienda na watu waliosheheni ili kuweza kukabiliana na dili hilo.

Lakini ikumbukwe kuwa kumbe ni mtego uliotegwa ili aweze kunaswa na Camera zilizopo Clous media na isadikike kuwa alienda kuvamia media hiyo.

Maswali yenye utata

Swali la kujiuliza ilikuaje mheshimiwa aende na watu waliosheheni silaha za moto bila kudhuru mtu au kitu chochote kama alienda kwa nia ovu?

Kwenye video alionekana mtu mwenye vazi la mabaka mabaka bila shaka ni mwanajeshi je aliitoa wapi silaha wakati tunajua ni ngumu kwa mtu kutoka na silaha ya jeshi?

Je ni evidence gani inaonyesha Makonda alitishia watu wote aliowakuta humo ndani?

Kwanini mheshimiwa WAZIRI aunde tume ambayo yeye na watu aliowaunda ni watu wasio na shaka kuwa ni wapinzani wa RC?

Kwanini tume haikushirikiana na vyombo vingine vya usalama wakati tukio halikua la pande mbili tu?

Ina maana mkuu wa nchi ameshindwa kujua ukweli wa tatizo na kumuondoa RC?

Nawasilisha.

source:JF


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt