asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Friday, April 28, 2017

MBEMBWE ZA KOREA KASKAZINI ZAGEUKA MOTO WA MABUA, YAGUNDULIKA SILAHA WANAZOTUMIA KWA VITISHO NI FEKI....SIRI NZITO HII HAPA


Image result for KOREA KASKAZINI
Korea kaskazini inaluamiwa kwa kuonyesha silaha bandia katika maonyesho ya hivi majuzi ya ubabe wake wa kijeshi.

Afisa wa zamani wa masuala ya ujasusi anasema baadhi ya bunduki na makombora yaliyotumiwa kwenye maonyesho hayo yalikuwa bandia.

Michael Pregent alikiambia kituo cha runinga cha Fox kuwa baadhi ya bunduki zilizokuwa kwenye maonyesho hayo zilikuwa ni za kujekesha

Lakini maonyesho kama hayo kuonyesha ubabe wa kijeshi yametumiwa kwa miongo kadha.

Kwa sasa msukosuko ni mkubwa kati ya Marekani na Korea Kaskazini.

Hii ni baada ya rais wa Marekani kuapa kuwa ni lazima atakabiliana na tisho la Korea Kaskazini.

"Sio kuwa Korea kaskazini inafikiri kuwa itashinda Marekani lakini kile itafanya ikiwa itashambuliwa," bwa Pregent alisema.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt