asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, April 2, 2017

Samatta azidi kung'ara aanza mechi za play offs Ubelgiji kwa kufunga katika ushindi wa 4-0

Ligi Kuu Ubelgiji imeendelea tena leo Jumamosi ya April 1 2017 kwa KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta kuikaribisha Lokeren katika mchezo wao wa kwanza wa play offs wa Kundi B wa Ligi Kuu Ubelgiji.
Mbwana Samatta ambaye alikuwa katika kikosi cha kwanza cha KRC Genk kilichocheza dhidi ya Lokeren alifanikiwa kuisaidia timu yake ya KRC Genk kupata ushindi wa goli 4-0, Mbwana Samatta akifunga goli la pili dakika ya 72.
Goli la kwanza la Genk lilifungwa na Pozuelo dakika ya 45, goli la tatu lilifungwa na Boetius dakika ya 77 la mwisho lilifungwa na Jose Naranjo aliyeingia dakika ya 84 akitokea benchi na kufunga goli dakika ya 90, ushindi huo umeifanya KRC Genk kuongoza Kundi B lenye timu sita kwa kuwa na magoli mengi.
ALL GOALS: Taifa Stars vs Botswana March 25 2017, Full Time 2-0




No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt