asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, April 9, 2017

USIPITWE,....Baada ya Diamond kumchana Gwajima kwenye wimbo wake, Gwajima aamua kufichua mazito juu ya ufreemason wa msanii huyo


Askofu Gwajima katika Ibada ya Jumapili amezungumzia vitu/watu watatu nchi Tanzania. 

Amezungumza kuhusu Diamond kumshambulia katika wimbo wake, na amesema mtu wa Mungu huwa hashambuliwi na binadamu. Amedai kuwa atazungumzia kuhusu Diamond kujiunga Chama cha Freemason na alijiunga lini, wapi na kafara gani alitoa ili aweze kukubaliwa kujiunga. Mchungaji Gwajima alishusha pumzi na kusema hatamoiga Diamond baada ya Diamond kujirudi na kumuomba msamaha Askofu Gwajima. Mchungaji Gwajima ameinukuu Biblia na kusema inakataza kumchapa/kumpiga mtu aliyeomba msamaha.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt