asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Wednesday, February 15, 2017

BELLE 9 AFUNGUKA MAPYA HADHARANI KUHUSU NDOA YA WAZAZI WAKE

Belle 9 anadai kwa mwalimu muhimu katika maisha yake ni baba yake mzazi.

Muimbaji huyo anayetokea Morogoro amemtaja mzazi wake huyo kuwa ni mtu anayemuinspire kwa mengi.
“Mfano hai ni kwamba mpaka leo hii hapa, baba yangu bado yupo na mama yangu ni kitu ambacho nakuwaga proud,” Belle ameonekana akisema kwenye teaser ya kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir kitakachoruka kesho Alhamis, saa 3 usiku kupitia EATV.
“Ninavyorudi nyumbani, baba yupo, mama yupo sababu nina rafiki zangu wengi ambao wako na mama zao peke yao wengine wako na baba zao peke yao, so kwangu mimi baba yangu ni mwalimu katika hilo,” ameongeza
 
USIKOSE PIA HABARI HIZI........




No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt