asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Saturday, April 1, 2017

VIDEO: Mtoto maarufu mwenywe uwezo wa kujibu maswali papo kwa papo kataja timu na viongozi

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu mtoto Aithamu ataje majina ya viongozi walioteuliwa kufuiatia mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri hususani wizara ya habari,utamaduni,sanaa na michezo na wizara ya sheria na katiba,leo ameelezea jinsi alivyofahamu mabadiliko hayo.
Aitham ambaye ni mzaliwa wa manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ametaja pia timu anazozipenda ikiwa ni pamoja na mtangazaji anayemfahamu Tanzania.
Full video nimekuwekea hapa chini…


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt