asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Tuesday, May 9, 2017

BREAKING NEWS: ARUSHA YAZIDI KUKUMBWA NA MAJANGA, TAZAMA AJALI NYINGINE HII HAPA YAUA WATANO HAPOHAPO...soma zaidi hapa...


MKOA wa Arusha Umeendelea Kukumbwa na baa la Ajali ,ambapo ikiwa haijakatika hata wiki toka ajali ya basi la shule kuua wanafunzi zaidi ya  30, leo hii kumetokea ajali nyingine ya nyumba kuangushwa na mti uliokuwa unasombwa na maji mengi,hali iliyopelekea vifo vya watu 5 na wawili kujeruhiwa.

Taarifa zilizotufiki hivi punde kutoka Jijini Arusha ,Zinasema kuwa mti huo uliseleleshwa na maji kwa umbali wa mita mia kabla ya kufikia nyumba hiyo na kusababisha watu waliokuwa ndani ya nyumba hiyo kupata ajali hiyo.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt