asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Monday, May 8, 2017

BREAKING NEWS!! TBC YASHAMBULIWA KUFUATIA KURUKA KWA TUKIO LA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32 WALIOFARIKI KWA AJALI.....TAZAMA HAPA ILIVYOKUWA....

Image result for tbc taifa

Hakika katika televishion iliyowashangaza watanzania wengi ni TBC, na hoii leo imeshambuliwa sana mtandaoni na watanzania, hii inatokana na kushindwa kuonyesha live tukio kubwa la msiba wa wanafunzi 32 waliofariki kwa kupata ajali ya gari.Huku baadhi ya televisheni binafsi ka clouds zikitoa taarifa kwa kina na ukaribu wakionyesha kiguswa sana na tukio hilo.Cha ajabu televisheni ya Taifa ambayo ndo ingekuwa karibu sana na tukio hilo.Mitandaoni watu wamelaani sana kitendo cha tbc kutofanya coverage ya moja kwa moja juu ya tukio hili la huzuni kwa taifa


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt