asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Monday, May 15, 2017

HATIMAYE KIZIZI CHA SIMBA CHAPUMUA....HII HAPA NEEMA NYINGINE MSIMBAZI


Zacharia Hans Poppe, amereja Simba.

Uamuzi wa Hans Poppe kurejea Simba umetokana na mkutano uliofanyika hadi saa 9 usiku wa kuamkia leo.

Hans Poppe amethibitisha kurejea kwake kundini baada ya mkutano huo na viongozi.

Hans Poppe aliamua kujiondoa katika kamati ya utendaji ya Simba na akawa ametoka kwenye kamati ya usajili aliyokuwa mwenyekiti.

Lakini kikao hicho hadi saa 9 alfajiri usiku wa kuamkia leo, kimemaliza suala hilo na Hans Poppe ameamua kurejea.


“Kweli tumekutana hadi saa 9 usiku, mwisho tumekubaliana na tumeyamaliza vizuri. Huu ni wakati wa kusonga mbele,” alisema Hans Poppe.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt