asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Tuesday, May 16, 2017

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA!!!,..TRAFKI WALIOFANYA UZEMBE AJALI ILIYOUA ZAIDI YA WANAFUNZI 30 ARUSHA KUONJA JOTO LA JIWE,...TAZAMA HAPA ALICHOKISEMA WAZIRI


WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema itawachukulia hatua watu wote walioshindwa kutimiza wajibu wao katika ajali iliyosababisha vifo vya wanafunzi 32 wa Shule ya Lucky Vincent ya Jijini Arusha.

Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, alisema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi na kila atakayebainika hakutimiza wajibu wake atachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria.

Mei 6, mwaka huu, kulitokea ajali kwenye mlima wa Rhotia wakati wanafunzi hao walipokwenda kufanya mitihani ya ujirani mwema katika Shule ya Tumaini Junior iliyopo Wilayani Karatu na kusababisha vifo vya wanafunzi 32


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt