asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, May 4, 2017

KAMPUNI YA 'GREEN LIVING PLANT' YAJA NA MAMBO HAYA YENYE UZITO WA AINA YAKE.....


kampuni ya Green Living Plant iliyosimamia kaulimbiu ya "Mazingira Yanaanza Na Mimi" imejipanga vikali katika kukabili changamoto mbali za kimazingira kwa kufanya jitihada mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuielimisha jamii juu ya umuhimu wa utunzaji wa mazingira pamoja na elimu juu ya hasara za kuharibu mazingira.

pia katika kikao hicho cha Green Living Plant na waandishi wa habari pia mambo mengine yanahusu mazingira yalizungumzwa pamoja na kueleza jinsi mazingira yanavyoweza kuwa sehemu ya ajira kwa wanajamii.

MABO YALIYOELEZWA NI


Katika kikao hicho pia kampeni  ya kufanya usafi katika chuo cha A.J.T.C ilizinduliwa rasmi na ikaelezwa kuwa usafi huo utafanyika kila siku kwa dakika 15 kuanzia saa 2:30 asubuhi.
ikiwa malengo ya kampuni hiyo ni kuifanya dunia kuwa ya ukijani pia wameonyesha nia ya kuondoa uchafu wote unaoharibu ukijani huo ikiwa ni pamoja na kupinga utapakaaji ovyo wa vifungashio vya naylon almaarufu kama 'Malboro'

waandishi wa habari pia walihoji maswali mbalimbali yalitoleta changamoto na kuvumbua mada mbalimbali za kimazingira ambayo maswali hayo pia yalipatiwa ufumbuzi wa haraka na uongozi wa kampuni hiyo.

pia wageni waalikwa nao walitoa maoni mbalimbali pamoja na kuhoji maswali ya kujenga
 KWA MAWASILIANO NA KAMPUNI HIYO PIGA
0766192299
AU
yusuphbenty20@gmail.com




No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt