asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, May 4, 2017

KOCHA MKUU WA SIMBA JOSEPH OMAG, AFUNGUKA MAPYA JUU YA UWANJA ULIOCHAGULIWA KWAAJILI YA FAINALI.....ASEMA HAYA




Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog amesema kikosi chake kina uwezo wa kutwaa ubingwa katika uwanja wowote.

Fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Mbao FC dhidi ya Simba itachezwa Mei 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

“Kwanza Mbao ni timu nzuri, tumecheza nao mara mbili kwenye ligi, tumeshinda mechi zote. Lakini lazima tukubali hii ni mechi ngumu sana.


“Lakini suala la uwanja, kwetu tutaendelea kujiandaa kwa lengo la kushinda au kufanya vizuri,” alisema.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt