asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Friday, June 23, 2017

AJTC GOSPEL GOT TALLENT WAFANYA TUKIO LA KIHISTORIA KATIKA UKUMBI WA AJTC LEO IJUMAA


Leo ijumaa ya tarehe 23/6/2017 katika ukumbi AJTC Arusha Journalism Training College tukio  la kihistoria limefanyika. AJTC GOSPEL GOT TALLENT wamefanya tamasha kubwa la kusifu na kuabudu ambalo limevunja rekodi ya matamasha yote yaliyofanyika katika ukumbi wa AJTC mwaka huu.

Tamasha hilo lililokua na wa vyombo vya muziki vya kila ladha na wapigaji waliobobea katika fani hiyo kiasi cha kuiteka mioyo ya watu waliohudhuria katika tamasha hilo ambalo pia jukwaa lake lilipambwa na waimbaji mbalimbali waliomuimbia mungu kupitia nyimbo za injili zilizokua katika miondoko mbalimbali yaani Hip hop, taarab, zuku na miondoko mingine mingi, baadhi ya waimbaji hao ni

  • HOBBS GROUP
  • JPA- just praise arusha
  • ELIHURUMA CHAO
  • MWAMBEJE BAND
  • GODFREY DANCERS TEAM
  • JOYCE MDETE
  • AVE SISTERS
  • BABY SIMON
  • HOSIANA PALLANGYO
  • EMANUEL JACKSON
Na wengine wengiii.........

anayeonekana pichani hapa chini ni muandaaji wa tamasha hilo Bw Emmanuel Jackson


Hizi hapa chini ni piha za baadhi ya matukio yaliyojiri katika tamasha hilo






























Mtumishi wa mungu PASTOR ISSACK alitoa neno la mungu lililomgusa, kumfurahisha na kumpa matumaini kila aliyekuwa katika tamasha hilo.
hizi hapa chini ni picha za baadhi ya matukio katika mahubiri ya pastor ISSACK





















HABARI NA PICHA IMELETWA KWAKO NA MWANDISHI WAKO
NICKSON SAWE





No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt