asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Tuesday, July 18, 2017

JEZI YA OKWI NA NIYONZIMA KIZIZI KUPULIZA MFUKO WA SIMBA



Simba imejipanga kufanya biashara kubwa ya jezi za wachezaji wawili wa kimataifa nao ni Emmanuel Okwi na Haruna Niyonzima.

Niyonzima raia wa Rwanda na Okwi kutoka Uganda wameishamalizana na Simba na wanachosubiri ni kuanza kazi tu.

“Jezi zao zitauzwa sawa na wengine lakini ni lazima kufanya oda kubwa ya jezi zao,” kilieleza chanzo.

Wachezaji hao watatambulishwa rasmi katika tamasha la Simba Day. Tayari maandalizi ya msimu mpya yameanza na Simba iko Afrika Kusini


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt