RAIS DKT MAGUFULI AMTEUA ANNE KILANGO MALECELA KUWA MBUNGE
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 21
Januari, 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Anne Kilango Malecela ataapishwa kwa mujibu wa taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment