asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, December 15, 2016

BARAKA DA PRINCE AAPA KUMRUDISHA LORD-EYES KATIKA LEBEL YAKE, BONTA AFUNGUKA MAZITO

Uamuzi wa Barakah The Prince kumsainisha Lord Eyez kwenye label yake mpya aliyoianzisha, umepokelewa kwa hisia tofauti. Rapper Bonta alisema kuwa ni aibu kwenye hip pop.

Na sasa Barakah ameijibu kauli ya member huyo mwingine wa Weusi huku akidai kuwa ni mapema kwa sasa watu kujudge iwapo atafeli kumrudisha rapper huyo na kwamba watu hawajui mipango yake ikoje.
“Sidhani kama huwa kuna aibu kwenye biashara,” Barakah amemuambia mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger. “Mtu ukiwa unapanga suala lako sometimes watu hawawezi kujua nini target yako na nini plan yako. Kwahiyo yeyote asiyejua plan yako anaweza akachukulia poa idea yako au kitu ambacho unaenda kukifanya na kukidharau. Lakini siku kitakapoleta matunda, ndio watu husanuka na kuona ‘kumbe hii ndio ilikuwa maana yake.”
“Kwahiyo tungesubiri kwanza tukaona matokeo, tutafeli au tutaweza kufaulu. Watu wakianza kujudge mapema na kukilaani mapema kitu ambacho ni plan nzuri tu za faida na biashara, si poa.”


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt