asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Saturday, December 10, 2016

BEN POL NA SNURA SASA KATIKA SURA MPYA

Kama unakumbuka moja ya tukio kwenye tour ya Fiesta 2016 ambalo lilimake headlines ni pamoja na ishu ya Benpol na Snura kudaiwa kuwa mapenzini na Snura aliwahi kukiri kuwa kweli yuko mapenzini na Ben Pol ambapo alizungumza maneno haya……..
>>>’Ben Pol Dodoma ni nyumbani kwao na mimi ni ukweni ndio maana alichukuwa nafasi hiyo ya kunitambulisha kwa ndugu zake na familia, Ben Pol alinipandisha kwenye stage kunitambulisha ndio ikatokea kitu kama kile sio kwamba tulifanya show pamoja mimi na yeye hapana …’ – Snura
  Ben Pol  ametoa ufafanuzi kuhusu ishu nzima ilivyokuwa ….>>>Unajua ile ilikuwa arts tulitengeneza tu sanaa fulani ya stage na haikuwa skendo wala haikuwa kiki, kuhusu kumtambulisha Dodoma, hapana wazazi wangu wenyewe hawapo Dodoma wako Dar es salaam’Ben Pol


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt