asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Wednesday, December 7, 2016

SIMBA YAVUTA CHOMBO KIPYA KUTOKA GHANA

Kotei amezaliwa August 10, 1993 (age 23), Accra, Ghana alianza kucheza soka mwaka 2002 na klabu ya Corner Babies ya Kumasi wakati huo akiwa na miaka tisa (9).
Mwaka 2007 alijiunga na Golden Football Academy ambapo alicheza kama mchezaji wa academy hiyo hadi mwaka 2009.
Kotei alinza kucheza soka la ushindani mwaka 2010 kwenye klabu ya Liberty Professionals FC. Kiwango chake cha juu katika eneo la kiungo kilipelekea kupewa jiana la utani “Unbeatable James” au wakati mwingine aliitwa “James Lampard”


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt