asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, December 11, 2016

Waliowatoza wajawazito pesa za matibabu wakumbwa na kizaazaa

Kufuatia malalamiko ya wakina mama wajawazito katika hospitali ya wilaya ya Nzega na vituo vya Afya kulalamikia tabia ya wauguzi na madaktari kuwatoza fedha wakati wanapoenda kujifungua Mkuu wa mkoa wa Tabora AGGREY MWANRY amemuagiza mkurugenzi na mganga mkuu wa wilaya ya Nzega kusimamia na kuhakikisha wakina mama hao wanarudishiwa fedha zao zote walizotozwa.

Kwa mujibu wa sera ya Afya ya Taifa wakina mama wajawazito wanapaswa kupatiwa huduma za matibabu bure lakini hali imekuwa tofauti katika hospital ya wilaya ya Nzega ambapo wakina mama hawa wamekuwa wakilazimika kulipia gharama za matibabu na hapa wanaleta kilio chao kwa mkuu wa mkoa wa Tabora baada ya kufanya ziara katika hospitali ya wilaya ya hiyo


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt