asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Tuesday, January 10, 2017

FID Q AMCHANA MAKAVU SHABIKI KISA KUMUITA "MUNGU WA HIPHOP"



Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Mwanza, Fid Q amemtolea uvivu mmoja kati ya mashabiki wake wa damu katika mtandao wa facebook baada ya kuitwa ‘Mungu wa hip hop’.

Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Sumu, alimwambia shabiki huyo kwamba yeye hapaswi kuitwa Mungu kwani Mungu ni mmoja na anategemewa na watu wote.
Angalia mazungumzo ya Fid Q na shabiki huyo.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt