asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, February 2, 2017

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWATAJA WAZI WAZI ASKARI 9 WANAOHUSIKA NA MADAWA YA KULEVYA PAMOJA NA WASANII

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja Askari 9 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.

RC Makonda amewataja wanaotuhumiwa kutumiwa dawa za kulevya wakiwemo TID, Wema Sepetu, Chid Benz, Recho, amewataka kesho wakutane polisi

Makonda amesema:
- Kuna maeneo watu wanatuambia madawa ya kulevya wanayapata sehemu hizo, wamiliki wake kesho niwakute polisi, wasipokuja nitawafuata

- Kama unajua una eneo unafanya biashara za dawa za kulevya DSM natoa siku 7 biashara hii iishe, operesheni hii naiongoza mwenyewe

- Kama Kamishna Sirro na timu yake watashindwa kutokomeza dawa za kulevya DSM maana yake wamekosa sifa za kuendelea kuwa askari

- Watano tayari nimeshawakamata na wengine nimewakamata wakiwa na dawa za kulevya

1- Detective Koplo Noel (Kituo chake cha kazi ni Central Police Dar)

2- Dotto (Yuko Kituo cha Kijitonyama)

3- Mwingine anafahamika kama 'Makomeo' (Kituo cha Oyster-bay)

4- Glory (Yuko Kituo cha Kawe)

5- Inspector Fadhili (Yuko Kituo cha Kinondoni)

6- Steve (Kinondoni)

7- James (Kinondoni)

8- Ditective Koplo (Wille)

9-



Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewataja pia wasanii wanaojihusisha na matumizi na uuzaji wa madawa ya kulevya na kuwataka kuripoti kituo cha polisi kesho.
30c81398-0fac-4c44-a739-a93705150684.jpg
NB: Suala la Dawa za Kulevya limikuwa likizungumziwa na kupewa kipaombele kwa muda mrefu hapa JamiiForums. Kwa taarifa zaidi tembelea mada hii, kupata orodha ya mada nyingine nyingi zinazojadili suala hili - Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt