asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, March 19, 2017

Hatimaye Utawala wa RC Makonda wafikia mwisho...

Image result for makonda na magufuli
Baada ya RC Makonda kushirikisha baadhi ya Watangazaji wa CLOUDS TV kutengeneza Video ya kumchafua Askofu Gwajima kuwa alizaa na mwanamke chizi imemlazimu Rais Magufuli kutaka kuchukua hatua za maksudi kumwajibisha RC Makonda haraka iwezekenavyo.

Taarifa za uhakika toka Ofisi ya Rais zinasema Raisi JPM amekasirishwa sana na kitendo cha RC Makonda kughushi video hiyo ya kumchafua Gwajima na baadaye kuvamia kituo cha Clouds TV na kufanya vurugu za kulazimisha hiyo video irushwe hewani baada ya Uongozi kukataa kuwa habari hiyo ni ya kughushi na haina ukweli!!

Rais amesema kwamba amejaribu kumvumilia sana Makonda kwenye swala la kughushi vyeti lakini hili la kutaka kughushi habari za uongo na kuvitumia vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwachafua watu wengine lazima achukue hatua ndani ya siku mbili zijazo!

Kama ni kweli Rais Magufuli ameliona hili na ameahidi kuchukua hatua itakuwa ni jambo la kupongezwa sana!

Tusubiri.
source:JF


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt