asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, May 28, 2017

BAADA YA SIMBA KUBEBA KOMBE, BANDA AWAAGA MASHABIKI WA SIMBA NA KUWAACHIA UJUMBE MZITO,..HUU HAPA

Mara baada ya kucheza mechi ambayo Simba imeshinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC na kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho, beki Abdi Band ameaga.

Banda kupitia mtandao wake wa Instagram amewaaga mashabiki wa Simba na kuwashukuru kwa ushirikisho wao.


Beki huyo kinda ambaye katika mechi ya leo aliingia nafasi ya beki wa kushoto baada ya Mohamed Zimbwe Jr kuumia katika dakika ya 47, amesema anakwenda kutafuta maisha.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt